Luke 6:29-30

29 aKama mtu akikupiga shavu moja, mgeuzie na la pili pia. Mtu akikunyang’anya koti lako, usimzuie kuchukua joho pia. 30 bMpe kila akuombaye, na kama mtu akichukua mali yako usitake akurudishie.
Copyright information for SwhKC